Wednesday, July 18, 2012

AJALI YA BOTI ZANZIBAR

0 comments
 Mmoja wa majeruhi waliokolewa katika meli ya Star Gate iliozama baharini eneo la Chumbe, Zanzibar, ikiwa na abiria zaidi ya 250.
 Majeruhi wakipatiwa Mablangeti kwa ajili ya kujihifadhi baada ya kuokolewa katika meli ya Star Gate iliozama  huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
 Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Mwinyihaji Makame akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na kuzama kwa Meli  hiyo.
 Wananchi mbalimbali wakishuhudia uokoaji ulipokuwa ukifanyika  kufuatia ajali hiyo
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiwa katika Eneo la Bandari akishuhudia kuletwa kwa majeruhi mbalimbali
Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Amer Kificho pamoja na mawaziri mbalimbali wakiwa katika Eneo la Bandari wakishuhudia kuletwa kwa majeruhi mbalimbali waliookolewa. INATOKA DAILY NKOROMO BLOG

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....