Tuesday, July 10, 2012

CHANGAMOTO VITA DHIDI YA MAABUKIZI YA UKIMWI

0 comments
NAIROBI, KENYA
Chama Cha Wauza ngomo Kenya kimrpinga kuwa biashara ya ukahaba ni moja ya vyanzo vya ongezeko la maabukizi ya virusi vya ukimwi.
       Akizungumza na BBC leo asubuhi,i, Mwenyekiti wa chama hicho, nchini Kenye Felista Abdallah amedai kuwa yeye na wafanyabiashara ya ngono wenzake siyo chanzo cha maambukizi hayo kwa sababu wanapata mafunzo ya kutosha ya kujihami na maambukizi ya ukimwi kuliko watu wengine wa kawaida.
       Alisema mbali na kuoatiwa mafunzo pia wafanyabishara hao wa ngono hupatiwa vifaa kama mipira ya kiume na ya kike kwa ajili ya ngono na hupatiwa pia vilainishi 'lubricant' kwa ili kulainisha sehemu zao za siro zisipate michubuko wakati wa ngono.
       Felista licha ya kukiri kwamba seriali ya Kenya haijaunga mkono biashara ya ukahaba, amesema serikali hiyo inatambua kuwa wapo ndiyo sababu huwapatia mafunzo na vifaa.
       "Hata pasipo na biashara ya ngono maabkizi yapo, kwa sababu ngono haifantiki kwa biashara tu, maana watoto wanatokana na ngono" alisema Felista.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....