Friday, July 13, 2012

ETI JAMANI MCHEZO HUU UTATUFAA UKIJA BONGO?

0 comments
Michezo mingine bwana, wala haifai hata kuiga sasa mchezo huu nini faida yake zaidi ya hasara na hatari ya ulemavu wa maisha. Vipi ukianzisha na hapa Bongo Wadau wa michezo mtajitokeza kuwahi fomu za kujiunga? Anauliza Sufuani Mafoto

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....