Tuesday, July 10, 2012

KIVULE VETERANI NA KITUNDA VETERANI WAKAMUANA BAO 1-1

0 comments
 Mchezaji wa timu ya Kitunda Veterani (nyekundu) akichuana na mchezaji wa Kivule Veterani katika mchezo wa kirafiki uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Shule ya Kitunda, Ukonga, Dar es Salaam
Wachezaji wa timu hizo wakitifuana katika mpambano huo
Na hapa pia
Naam Kivumbi na jasho hapaaaa
Na hapa
Kikosi cha Kivule Veterani
Kikosi cha KivuleVeteran
Wachezaji wa Kivule Veterani na Kitunda Veterani wakiwa katika picha ya pamoja baada mchezo kumalizika kwa kufungana bao 1-1.
Kikosi cha Kitunda Veterani (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....