Tuesday, July 3, 2012

KOCHA MBELGIJI WA YANGA KUTUA LEO DAR ES SALAAM

0 comments
KOCHA mpya wa timu ya Soka ya Yanga, raia wa Ubelgiji, Tom Sant anatarajiwa  kuwasili leo mjini Dar es Salaam,  akitokea Nigeria alikokiwa katika mipango ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa masuala ya soka nchini humo

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....