Friday, July 6, 2012

KOCHA MPYA WA YANGA AANZA KAZI

0 comments
  Kocha mpya wa Yanga, Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji akiwasili katika uwanja wa mazoezi wa Yanga katika eneo la Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
 Kocha huyo akiwasalimia wadau
 Wachezaji wa Yanga waliokuwa wakimsubiri Kocha huyo
Kocha huyo akitoa somo kwa wachezaji huku akiwa na baadhi ya viongozi wa timu hiyo (Picha kutoka Habari Mseto Blog)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....