Sunday, July 15, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MASHEIKH WA BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA (BAKWATA)MJINI DODOMA

0 comments
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, baada ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR  PICHA ZAIDI KATIKA UKURASA WETU WA MATUKIO BONYEZA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....