Tuesday, July 3, 2012

RAIS AREJEA DAR AKITOKEA BURUNDI NA RWANDA

0 comments
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohuidhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo. Anayeongozana nao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik.
Rais akizungumza na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Said Mwema, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jululis Nyerere usiku wa kuamkia leo

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....