Thursday, July 5, 2012

TIBA ZAREJEA MOI

0 comments
Hali ya utoaji huduma katika Taasisi ya \mifupa (MOI) jijini Dar es Salaam, inaelekea kurejea kufuatia baadhi ya madaktari kuonekana wakitoa huduma. Pichani, madakimhudumia mgonjwa kwenye Taaisi hiyo leo

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....