Tuesday, July 3, 2012

WARIOBA AFUNGUA KONGAMANO LA TAHLISO

0 comments

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph .S. Warioba (aliyesimama)  akizungumza wakati kongamano la kujadili katiba lililofanyika katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Umoja wa Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini (Tahliso). Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe na kushoto kwa Jaji Warioba .ni Mwenyekiti wa Tahliso, Paul Makonda.PICHA KWA HISANI YA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....