Saturday, July 28, 2012

YANGA BINGWA TENA KOMBE LA KAGAME

0 comments
Yanga imefabikiwa kulitwa tena Kombe la Kagame mwaka huu wa 2012,  na hivyo kuutetea ubingwa wa kombe hilo iliokuwa inaushikilia. Imefanikiwa kuutwaa ubingwa leo baada ya kuifunga Azama Fc katika mechi ya fainali leo, kwenye Uwanja wa Taifa, jijini  Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Hamis Kiiza katika kipindi cha kwanza  na Saidi Bahanuzi kipindi cha pili.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....