Friday, August 17, 2012

AJALI RUKWA

0 comments
Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma katika hospitali ya  mkoa wa Rukwa baada ya ajali ya gari  iliyotokea leo katika kijiji cha Ntalamila wilayani Nkasi mkoani Rukwa. katika ajali hiyo watu wengine kadhaa wamejeruhiwa

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....