Thursday, August 2, 2012

BENKI ABC YAFUTURISHA DAR

0 comments
 Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, akizungumza  wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya ABC kwa ajili ya wateja wake  wakubwa, katika hoteli ya Serena, Dar es Salaam. Aliyevaa tai nyekundu kati ya walioketi ni  Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Boni Nyoni. Zinazoendelea ni matukio mbalimbali katika picha kuhusu futru hiyo.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....