Sunday, August 26, 2012

CHADEMA HALI TETE MOROGORO?

0 comments
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaelekea kukosa watu katika mikutano yake mkoani Morogoro kutokana na kudaiwa kutokuwa na jipya kwenye mikutano hiyo yenye lengo la kujaribu kukijenga chama hicho mkoani humo. Mfano ni hali hii ya mahudhurio ya wananchi kwenye mkutano wa Chadema uliofanyika jana eneo la Kingorwila mkoani humo. (Na Mpigapicha Wetu).

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....