Friday, August 3, 2012

MAHAFALI SUNRISE NURSERY & PRIMARY SCHOOL YAFANA LEO

0 comments
Wahitimi wa darasa la saba katika shule ya msingi na awali ya Sunrise (Sunrise Nursery &Primary School) ya Kinondoni, Morocco, wakiwa kwenye mahafali yao leo, kwenye viwanja vya shule hiyo. Picha zaidi BOFYA HAPA, MATUKIO YETU

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....