Thursday, August 30, 2012

MAPOKEZI YA MBUYI TWITE ALIPOWASILI DAR LEO

0 comments

 Mchezaji wa Yanga kutoka APR ya Rwanda Mbuyi Twite akiwapungia mikono mashabiki wa Yanga baada ya kupokewa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere alipowasili leo jijini Dar es Salaam.
 Viongozi na mashabiki wa Yanga wakiwa wamemuweka kibindoni Twite
 Akizungumza na Waandishi wa habari kuthibitisha kuwasili kwake nchini
 Twite akiwa amevalishwa jezi namba nne na jina la RAGE, bila shaka kumtania Mwenyekiti wa Simba Aden Rage
 Mashabiki wa Yanga wakionyesha furaha yao
 Mashabiki wa Yanga wakifanya vituko kukoleza mapokezi hayo
Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mpaka Bhasiiiiiiii Picha kutoka Habari Mseto Blogu

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....