Wednesday, August 22, 2012

MSAIDIE MREMBO HUYU

0 comments
Mrembo Juliana Pierre  (Pichani) anahitaji ambaye ameingia fainali za Miss East Africa Belgium 2012, anahitaji kupata watu wengi zaidi kwenye ukurasa wake wa Facebook kuliko washiriki wenzake katika fainali hizo. Ili uweze kuwa mmoja wa watakaoongeza idadi hiyo BOFYA HAPA kwenye ukurasa kisha bofya "like" kwenye link hiyo".

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....