Friday, August 31, 2012

MUKAMA MKUTANONI CAPE TOWN

0 comments
KATIBU MKUU WA CCM MHE. WILSON MUKAMA AKIFUATILIA MKUTANO MKUU WA 24 WA SOCIALIST INTERNATIONAL UNAOFANYIKA, CAPE TOWN, AFRIKA YA KUSINI. MKUTANO HUO ULIFUNGULIWA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI, MHE. JACOB ZUMA, NA UTAMALIZIKA TAREHE 1/09/2012. (PICHA NA EDWARD MPOGOLO WA OFISI YA KATIBU MKUU WA CCM)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....