Sunday, August 19, 2012

MWILI WA MAREHEMU MBOGOLA WASAFIRISHWA KWENDA MUSOMA

0 comments

Mamia ya Waandishi wa habari leo wamejitokeza kwa wingi kumuaga mwandishi mwenzao Alfred Mbogora aliyefariki jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua ghafla, mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Musoma kwa ajili ya mazishi

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....