Tuesday, August 21, 2012

NAPE AMSHUKIA DK. SLAA, AKANUSHA CCM KUINGIZA SILAHA NCHINI

0 comments
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam na kuzungumzia maswala mbalimbali lakini kubwa zaidi kukanusha Madai ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa kwamba CCM imekuwa ikiingiza silaha nchini kinyemela. Habari zaidi www.habarizasiasa.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....