Sunday, August 26, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AHESABIA KATIKA SENSA YA WATU NA MAKAZI ILIYOANZA LEO

0 comments


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na familia yao, wakati Rais Kikwete akihojiwa na  kujibu maswali kutoka kwa karani wa sensa ya watu na makazi, Clement Ngalaba,  Rais alipojiunga na mamilioni ya Watanzania katika zoezi hilo lililoanza kufanyika leo Agosti 26, 2012, nchi nzima.
PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....