Thursday, August 9, 2012

RAIS KIKWETE YUPO ACCRA GHANA KWENYE MAZISHI YA RAIS JOHN EVANS ATTA MILLS

0 comments

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Agosti 9, 2012 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa leo Ijumaa Agosti 10, 2012.PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....