Monday, August 20, 2012

SWAGA ZA KIJANA WA KIMASAI

0 comments
Akimlipa nauli mwendesha pikipiki baada ya kufikishwa eneo la Kawe Kanisani jijini Dar es Salaam, leo mida ya mchana. Kilichonivutia zaidi ni namna alivyosheheni 'zana' kiunoni, wewe unasemaje mdau?

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....