Friday, August 31, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SHULE YA MSINGI ENZI HIZOOOO

0 comments
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwalimu wake, John Kasalamimba wakati walipokutana Mjini Mpanda Agust 30,2012.Mwalimu Kasalamimba alimfundisha Waziri Mkuu  kuanzia mwaka 1960darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Kibaoni wilayani Mlele, Mpanda. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....