Sunday, August 19, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA KUMI YA KIJIJI CHA MATUMAINI CHA DODOMA

0 comments
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhahamu Mathia Isuja wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kijiji cha matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima. Mheshimiwa Pinda alikuwa mgeni rasmi katika sherehe za miaka 10 ya kijiji hicho.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glas  na wtoto watatu wa kwanza kupokelea katika kijiji cha matumaini  kinacholea watoto yatia cha Dodoma katika sherehe za miaka 10 ya kijiji hicho Agust 18, 2012. Kutoka kushoto ni Hassan, Amani na Neema.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Sister Rosaria ambaye ni mwanzilishi wa Kituo cha kulelea watoto yatima  kiitwacho kijiji cha matumaini cha Dodoma, wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 10 ya kituo hicho Agust 18,2012.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana  na wtoto watatu wa kwanza kupokelea katika kijiji cha matumaini  kinacholea watoto yatia cha Dodoma katika sherehe za miaka 10 ya kijiji hicho Agust 18, 2012. Kutoka kushoto ni Hassan, Amani na Neema.
3549 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wtoto watatu wa kwanza kupokelea katika kijiji cha matumaini  kinacholea watoto yatia cha Dodoma katika sherehe za miaka 10 ya kijiji hicho Agust 18, 2012. Kutoka kushoto ni Hassan, Amani na Neema. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....