Sunday, September 9, 2012

ASHA BARAKA, STEVE NYERERE WA WENGINE KIBAO WAREJESHA FOMU KWANIA UONGOZI CCM

0 comments
WAGOMBEA  wa nafasi  ya Uenyekiti  wa Wilaya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kutoka kulia, Rajabu Mwilima , Salum Madenge, Alhaj Msii na Mjumbe wa Mkutanjo Mkuu taifa Pilly Madalu, Mkurugenzi wa Kampuni ya The African Stars Entertainment Asha Baraka na msanii Steve Nyerere  anayewania nafasi ya Ujumbe Halmashauri Kuu ya Taifa CCM NEC wakiwa katika picha ya pamoja baada  kurudisha fomu na kufanyiwa usaili leo, kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....