Friday, September 7, 2012

KAJUBI MUKAJANGA RAIS MPYA WA CHAMA CHA MABARAZA YA HABARI DUNIANI (WAPC).

0 comments
 Rais mpya WAPC Kajubi Mukajanga akibadilishana mawazo na  Katibu Mkuu wa chama hicho, Chris Conybeare wakati wa karamu maalumu iliyofanyika Dar es Salaam Septemba 5, 2012. Mukajanga alichaguliwa kushika wadhifa huo Septemba 6, 2012.
 Dr. Tamer Atebarut wa Uturuki aliyechaguliwa tena kuwa Mweka Hazina wa  WAPC
Kishor Shrastha kutoka Nepal  aliyechaguliwa kuwa  mmoja wa Makamu Rais wawili wa  WAPC.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....