Thursday, September 6, 2012

KANGOYE AZUNGUMZIA MAENDELEO YA BENKI

0 comments
 MKURUGENZI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya TAYODA, Jackson Kangoye, akikata mti kwa ajili ya kuandaa shamba katika kijiji cha Msagali, Mpwapwa mkoani Dodoma, juzi, taasisi hiyo inajihusisha na umahasishaji wa vijana kuingia kwenye kilimo badala ya kutegemea ajira serikalini.
 Vijana wa kijiji cha Kibakwe, Mpwapwa mkoani Dodoma, wakianda shamba kwa ajili ya kuanza kulima. Vijana hao wamehamasishwa na taasisi isiyo ya kiserikali ya TAYODA kujiingiza kwenye kilimo badala ya kusubiri kuajiriwa
WANANCHI wa kijiji cha Msagali, Mpwapwa mkoani Dodoma, wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya TAYODA, Jackson Kangoye, hayipo pichani alipokuwa akizungumza nao juzi na kuwahamasisha kujiingiza kwenye kilimo.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....