Saturday, September 1, 2012

MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA IRAN MJINI TEHRAN

0 comments
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Dk. Mohammad Reza Rahimi,  walipokutana leo mjini Tehran  na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi zao.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dk. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Serikali ya Tanzania uliohudhuri Mkutano wa  16 wa  Wakuu wa Nchi  za Siasa ya Kutofungamana na Upande wowote  uliomalizika leo mjini Tehran,  Iran.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....