Tuesday, September 4, 2012

MKUTANO WA ASASI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA NCHI ZA SADC (SADC TROIKA)

0 comments
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi ya Kusini mwa Afrika(SADC TROIKA) Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha siku moja cha asasi hiyo katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa SADC Rais Armando Emílio Guebuza wa Msumbiji na kati ni  Katibu Mtendaji wa SADC  Dkt Tomaz A. Salomao. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA HABARI ZA SIASA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....