Saturday, September 22, 2012

NAPE AZUNGUMZA NA WAANDISHI DODOMA

0 comments

Katibu wa Nec,Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM,Nape Nnauye,alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari leo kuhusu Kufanyika kwa Vikao vya juu vya Chama hicho katika Ukumbi wa White House mjini
Dodoma,vikijadili majina ya wagombea nafasi mbali mbali zikiwemo,Uwenyekiti wa Wilaya na Mikoa na Ujumbe wa Halamashauri Kuu ya Taifa. [ Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....