Saturday, September 1, 2012

RAIS KIKWETE AAGA MWILI WA ZENAWI

0 comments
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua na kutoa heshima zake mwisho kwa aliyekuwa Waziri mkuu waa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi katika ikulu  ya Addis Ababa leo jioni(picha na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....