Thursday, September 27, 2012

WAGOMBEA WA UCHAGUZI WA CCM – MWAKA 2012

0 comments
NEC ya CCM iliyokutana Dodoma Septemba 25, 2012, imeipitisha majina ya watakaokuwa wagombea katika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Chama hicho. Uchaguzi huo ambao ni Mkuu kwa CCM, utafanyika Novemba mwaka huu. Kuona majina ya wateule hao ingina kurasa wetu wa mambo ya Siasa auBOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....