Friday, September 14, 2012

WATAALAM KUTOKA NCHI 18 ZA NJE WATEMBELEA CHUO CHA TEKNOLOJIA YA KUTENGENEZA UMEME BILA KUKATA, MOROGORO

0 comments

 MMILIKI na Mkufunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Teknolojia ya kutokata umeme wakati wa matengenezo cha MacDonald Live line Technology, Donald  Mwakawele (kulia), akiwa katika picha ya pamoja na wataalam wa umeme wa mashirika na kampuni za umeme kutoka nchi 18 za nje, waliotembelea chuo hicho, kilichopo Wilayani Mvomelo mkoani Morogoro, janai. Chuo hicho kinatarajiwa kuzinduliwa na Rais Jakaya Kikwete Nobemba mwaka huu.
 Wageni wakaanza kutembelea maeneo mbalimbali ya chuo hicho
 MMILIKI na Mkufunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Teknolojia ya kutokata umeme wakati wa matengenezo cha MacDonald Live line Technology, Donald  Mwakawele  (kulia) akionyesha maeneo mbalimbali ya chuo
 Meneja wa Biashara wa chuo hicho,  Garry Craig (kulia) akimwelewesha jambo Meneja Mradi wa Kampuni ya Umeme ya ESKOM ya Uganda, Esimu Michael ambaye alikuwa mmoja wa wageni hao
 Wageni wakitazama vifaa mbalimbali vya Chuo hicho
 Wageni wkionyehwa teknolojia zinazovtumika
 Hili no moja ya mabango yanayotangaza uwezo wa chuo hicho
 Mwakawele akianza kuonuesha utendaji wake
 Hapa anaonyesha jinsi ya kutenga sehemu inayotaka kufanyiwa matengenezo kwenye nyanya, lakini bila kukata umeme.
 Hapa anaonyesha hatua ya kunbadilisha vikombe vya kuunganisha nyanya wakati wa matengenezo bila kukata umeme
 Mwakawele akipongezwa na  Ade Yesufu wa Kampuni ya Spintelligent ya Afrika Kusini, baada ya kuonyesha uwezo wake katika kutengeneza mifumo bila kukata umeme
 Waandishi nao kama kawaida walikuwepo kuwakilisha
Mwakawele akizungumza na waandishi wa habari baada ya ziara ya wageni wke (picha zote na Bashir Nkoromo-wa Tanzania Vision Blog)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....