Saturday, September 22, 2012

YANGA YAAMKA, YAIPIGISHA KWATA JKT RUVU 4-1

0 comments
Mshambuliaji wa Yanga Haruna Niyonzima na
 Sostenes Manyasi wa JKT Ruvu.
Yanga ikiwa na kocha wake msaidizi  Fred Felix Minziro, leo imerejesha matumaini ya mashabiki wake, baada ya kufanikiwa kupata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya JKT Ruvu  katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Ushindi huo umeonekana kuwapoza mashabiki machungu waliyopata baada ya timu hiyo kupigwa tatu bila mjini Morogoro, wiki iliyopita.
        Mnamo dakika kumi za mwisho wapenzi wa Yanga walionekana kutaka mchezo umalizike baada ya JKT Ruvu kucheza mchezo mkali hatua iliyowafanya wapenzi wa Simba kunekana kushangilia... INAENDELEA, BOFYA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....