Sunday, October 21, 2012

BAADHI YA YALIYOJIRI ZIARA YA RAIS KIKWETE OMAN

0 comments
 Baadhi ya Wafanyabiashara kutoka Tanzania na wenzao wa Oman wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda wakati wa mkutano wa pamoja kati ya wanyabiashara wan chi hizo mbili uliofanyika katika Hoteli ya Al Bustan Palace jijini Muscat hivi karibuni.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio Oman katika mkutano uliofanyika jijini Muscat wiki iliyopita
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakti wa mkutano na Watanzania waishio Oman uliofanyika jijini Muscat  hivi karibuni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Oman, Bwana Ali Ahmed Saleh
(picha na Freddy Maro)
 Baadhi ya Watanzania waishio Oman wakiimsalimia kwa shauku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuongea nao jijini Muscat wakati wa ziara yake iliyomalizika hivi karibuni
 Baadhi ya Watanzania waishio Oman wakiimsalimia kwa shauku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuongea nao jijini Muscat wakati wa ziara yake iliyomalizika hivi karibuni


0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....