Sunday, October 21, 2012

COASTAL UNION YAKITANGAZA RASMII KIFAA CHEKE KUTOKA BRAZIL

0 comments
MCHEZAJI Deangelis Gabriel Barbosa wa Brazil akiwa na mkewe Zaira Caroline na mtoto wao Lara Barbosa, baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Coastal Union leo, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Clabu ya Coastal Union barabara ya 12 jijini Tanga. PICHA: TANZANIA VISION BLOG. Kwa habari zaidi.... BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....