Wednesday, October 10, 2012

DK. BILAL KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA UGANDA

0 comments
Makamu wa Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gaharib Bilal (kulia)  akibadilishana mawazo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 yaUhuru wa Uganda. Sherehe hizo zimefanyika jana katika Uwanja wa Kololo jijini Kampala. Wanaoonekana nyuma yao  ni wake zao, Bibi Janneth Museveni (kulia) na Mama Zakia Bilal.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....