Sunday, October 14, 2012

RAIS AZIMA MWENGE SHINYANGA

0 comments
Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge waka huu, Kapteni Honest Mwanossa wakati wa sherehe za kuuzima ,zilizofanyika  Uwanja wa CCM, Kambarage mjini Shinyanga leo  tarehe 14.10.2012. (Picha na John Lukuwi)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....