Saturday, October 6, 2012

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA WATANZANIA WA CANADA

0 comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012 : PICHA NYINGI ZAIDI BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....