Wednesday, October 10, 2012

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA MAGEREZA

0 comments

 Amirijeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania, Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza Tanzania, Kamishna Jenerali  John Casmir  Minja, Ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi.
Rais Kikwete akimkabidhi nyenzo baada ya kumwapisha Mkuu huyo  mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmir Minja, (Picha zote na Freddy Maro)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....