Thursday, November 22, 2012

KINANA ANA HURUMA

0 comments
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana jana alidhihirisha kuwa ni kipenzi mpenda watu wa aina zote, alipoamua kusimamisha msafara wake na kwenda kumsalimia Joseph Nampela mwenye ulemavu wa miguu, ambaye alikuwa pembeni mwa barabara, wakati msafara huo ukiingia mjini Sumbawanga, alipokuwa katika ziara ya kikazi ya siku moja mkoani Rukwa, jana. Pichani, Kinana akimsalimia mwananchi.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....