Friday, November 2, 2012

SHIMBO AAGWA RASMI JESHINI

0 comments
 Aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)  Luteni Jenerali abdurahman Shimbo, akiwa katika gari maalum wakati wa sherehe za kumuaga, zilizofanyika leo mjini Dar es Salaam.
 Luteni Kanali Shimbo akikagua gwaride aliloandaliwa na JWTZ kumuaga rasmi
 Mkuu wa Jeshi la JWTZ, Jenerali Davis Mwamunyange akimpa Cheti cha Ustaafu, Luteni Jenerali Mstaafu Abdurahman Shimbo wakati wa sherehe hiyo
 Jenerali Mwamunyange akimpongeza Shimbo
 Wanajeshi wa JWTZ wakipiga paredi rasmi
Shimbo akipongezwa na mama yake mzazi

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....