Monday, November 19, 2012

TASWIRA KATIKA MAZINGIRA

0 comments
Juhudi za kuokoa misitu ili kutunza mazingira Tanzania bado zinakumbana na changamoto kadhaa ikiwemo mahitaji ya matumizi ya kuni yanayosababishwa na kutokuwepo nishati nyingine mbadala. Pichani, watu wakiwa wamepakia kuni kutoka msituni, nje kidogo ya mji wa Dodoma, juzi.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....