Monday, November 19, 2012

WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA TAASISI YA WAARABU TANZANIA

0 comments

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikata utepe wakati alipozindua  Taasisi ya Waarabu Tanzania kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Novemba 18,2012. Kushoto Ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mecky Sadic.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....