Monday, December 3, 2012

MLLATIE ASSEY,BESTMAN & GROOMSMEN ALL DRESSED IN SHERIA NGOWI

0 comments

Pichani Juu na Chini ni Mbunifu wa Mavazi Sheria Ngowi akifanya final touches za kumtengeneza Bwana Harusi na wapambe wa bwana harusi kabla ya kuelekea katika kanisa la St. Peter lililopo jijini Dar kwa ajili ya ndoa Takatifu.

Maharusi katika picha ya pamoja na marafiki kabla ya kubadilisha nguo baada ya kuingia ukumbini.
MC Luvanda kwenye Red Carpet.
Mdogo wake Bwana Harusi Omega Assey akiwa na mmoja wa wapambe wa bwana harusi.
Eric Ndalu (kulia) akiwa na swahiba wake.
Top Designer in town Sheria Ngowi akiwa na Wadau kwenye Red Carpet.
Bwana na Bibi James Mbatia.
Dennis Busulwa a.k.a Ssebo na Raymond wa Regency Park Hotel wakiwa na wadau.
Jacqueline Mzindakaya (kulia) akishow love na marafiki zake.
Wadau wakishow love mbele ya Camera yetu Mike Kimei (kulia) Amani Tenga(katikati) na Mdau.
Justine Ndege, Amo Blaze, Mike Kimei na Mdau.

Wadau katika pozi.
Bwana na Bibi Richard Mllatie Assey wakionekana na nyuso za furaha katika mnuso wa nguvu uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City baada ya kufunga ndoa Takatifu katika Kanisa la St. Peters mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Suti ya Bwana Harusi, Best man wake pamoja na wapambe zimetengenezwa na Mbunifu wa Mavazi nchini Sheria Ngowi.
Maharusi wakitafakari maisha mapya ya ndoa.
Ushers wakipozi na maharusi.
Bibi Harusi akijiandaa kurusha Bouquet kwa single ladies waliohudhuria mnuso wake.
Single ladies wakiwa na shauku ya kudaka Bouquet ya bibi harusi.
Mwenye bahati ya kuolewa hivi karibuni baada ya kudaka bouquet la Bibi harusi katika picha ya pamoja na Bibi Harusi Jackline Richard Mllatie Assey (kulia).
Wapambe wa Bwana harusi wakishine na suti za ubunifu wa Sheria Ngowi.

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....