Sunday, June 23, 2013

MEYA JIJI LA KAMPALA ALAZWA KWA KUPIGWA BOMU LA MACHOZI KWENYE MAANDAMANO

0 comments
Meya wa mji wa Kampala, nchini Uganda, Erias Lukwago, amelazwa hospitalini nchini humo, baada kutupigwa bomu la machozi akiwa ndani ya gari lake.

Inadaiwa mmoja wa polisi wa kutuliza ghasia (FFU) nchini humo a. k.a ( Kina ras Makunja) ndiye
alitupa katika gari la Mstahiki Meya huyo akiwa katika maandamano mjini Kamapala Picha Kamilkit BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Mdau mtandao huu ni kwa ajili yako, weka maoni yao uelimishane na wenzako, Zingatia kutoleta maoni yanayochafua hali ya Hewa! Sasa Endelea....